# Yeremia aliwekwa katika gereza la chini "wakuu walimuweka Yeremia katika chumba kilichokuwa chini" # wakamleta "wakamleta Yeremia" # nyumba yake "nyumba ya kifalme ya mfalme Sedekia" # utapewa Maneno haya ni kwa ajili ya mfalme Sedekia na watu wake. # Kutiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli. Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:3