sw_tn/jer/37/06.md

20 lines
390 B
Markdown

# Neno la Bwana lilikuja
Bwana alizungumza neno lake
# mtasema
Maneno haya yanazungumzwa na watu wawili ambao mfalme Sedekia aliwatuma kwa Yeremia.
# Kuomba ushauri kwangu
Neno "kwangu" linamuelezea Bwana.
# Tazama
Neno hili linaongeza msisitizo wa ktu kinachofuata.
# Watapigana dhidi ya mji huu, wataukamata na kuuchoma moto.
"kupanga vita dhidi yao, kuuchukua na kuuchoma moto"