sw_tn/jer/37/06.md

390 B

Neno la Bwana lilikuja

Bwana alizungumza neno lake

mtasema

Maneno haya yanazungumzwa na watu wawili ambao mfalme Sedekia aliwatuma kwa Yeremia.

Kuomba ushauri kwangu

Neno "kwangu" linamuelezea Bwana.

Tazama

Neno hili linaongeza msisitizo wa ktu kinachofuata.

Watapigana dhidi ya mji huu, wataukamata na kuuchoma moto.

"kupanga vita dhidi yao, kuuchukua na kuuchoma moto"