# Neno la Bwana lilikuja Bwana alizungumza neno lake # mtasema Maneno haya yanazungumzwa na watu wawili ambao mfalme Sedekia aliwatuma kwa Yeremia. # Kuomba ushauri kwangu Neno "kwangu" linamuelezea Bwana. # Tazama Neno hili linaongeza msisitizo wa ktu kinachofuata. # Watapigana dhidi ya mji huu, wataukamata na kuuchoma moto. "kupanga vita dhidi yao, kuuchukua na kuuchoma moto"