sw_tn/jer/37/03.md

514 B

Yehukali

Hili ni jina la mtu.

Shelemia

Hili ni jina la mtu.

Sefania mwana wa Maaseya the Prist

Sefania mwana wa Maaseya aliyekuwa kuhani.

kwa niaba yetu

"kwa ajili yetu" Neno "yetu" linamuelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda.

Yeremia alikwenda na kutoka kati ya watu

"Yeremia aliweza kwenda kokote alipotaka na mtu yeyote"

Kwa kuwa hajawahi kuwekwa gerezani

"Kwa sababu hakuna mtu aliyemuweka gerezani"

kuja nje

"kuitoa nje"

Kuzingatia

Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:1