sw_tn/jer/37/03.md

32 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yehukali
Hili ni jina la mtu.
# Shelemia
Hili ni jina la mtu.
# Sefania mwana wa Maaseya the Prist
Sefania mwana wa Maaseya aliyekuwa kuhani.
# kwa niaba yetu
"kwa ajili yetu" Neno "yetu" linamuelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda.
# Yeremia alikwenda na kutoka kati ya watu
"Yeremia aliweza kwenda kokote alipotaka na mtu yeyote"
# Kwa kuwa hajawahi kuwekwa gerezani
"Kwa sababu hakuna mtu aliyemuweka gerezani"
# kuja nje
"kuitoa nje"
# Kuzingatia
Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:1