# Yehukali Hili ni jina la mtu. # Shelemia Hili ni jina la mtu. # Sefania mwana wa Maaseya the Prist Sefania mwana wa Maaseya aliyekuwa kuhani. # kwa niaba yetu "kwa ajili yetu" Neno "yetu" linamuelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda. # Yeremia alikwenda na kutoka kati ya watu "Yeremia aliweza kwenda kokote alipotaka na mtu yeyote" # Kwa kuwa hajawahi kuwekwa gerezani "Kwa sababu hakuna mtu aliyemuweka gerezani" # kuja nje "kuitoa nje" # Kuzingatia Tazama ulivyotafsiri katika sura ya 32:1