sw_tn/jer/36/23.md

36 lines
541 B
Markdown

# Ikatokea kwamba
Maneno haya yanaonesha umuhimu wa tukio katoka simulizi.
# Yehudi
Hili ni jina la mtu.
# Kurasa
Hizi ni kurasa za maneno katika kitabu.
# itakatwa
"ile sehemu itakatwa"
# na kisu
"kwa kutumia kisu cha mwandishi"
# Makaa
Ni sehemu ya moto ambayo mtu anaweza kuihamisha
# Mpaka kitabu chote kilipoharibiwa
"mpaka kitabu kilipokwisha kabisa"
# maneno haya yote
Maneno toka kwenye kitabu ambacho Baruku alikiandika kwa kusomewa na Yeremia.
# wakararua mavazi yao
Watu huchana mavazi yao wakiwa na huzuni sana.