# Ikatokea kwamba Maneno haya yanaonesha umuhimu wa tukio katoka simulizi. # Yehudi Hili ni jina la mtu. # Kurasa Hizi ni kurasa za maneno katika kitabu. # itakatwa "ile sehemu itakatwa" # na kisu "kwa kutumia kisu cha mwandishi" # Makaa Ni sehemu ya moto ambayo mtu anaweza kuihamisha # Mpaka kitabu chote kilipoharibiwa "mpaka kitabu kilipokwisha kabisa" # maneno haya yote Maneno toka kwenye kitabu ambacho Baruku alikiandika kwa kusomewa na Yeremia. # wakararua mavazi yao Watu huchana mavazi yao wakiwa na huzuni sana.