sw_tn/jer/36/23.md

541 B

Ikatokea kwamba

Maneno haya yanaonesha umuhimu wa tukio katoka simulizi.

Yehudi

Hili ni jina la mtu.

Kurasa

Hizi ni kurasa za maneno katika kitabu.

itakatwa

"ile sehemu itakatwa"

na kisu

"kwa kutumia kisu cha mwandishi"

Makaa

Ni sehemu ya moto ambayo mtu anaweza kuihamisha

Mpaka kitabu chote kilipoharibiwa

"mpaka kitabu kilipokwisha kabisa"

maneno haya yote

Maneno toka kwenye kitabu ambacho Baruku alikiandika kwa kusomewa na Yeremia.

wakararua mavazi yao

Watu huchana mavazi yao wakiwa na huzuni sana.