sw_tn/jer/36/20.md

32 lines
600 B
Markdown

# Kisha wao
Neno "wao" linawaelezea wakuu.
# Wakakiweka kitabu katika chumba cha Elishama
"wakakiweka kitabu sehemu salama katika chumba cha Elishama"
# Elishama karani
"Elishama aliyekuwa mwandishi"
# Maneno haya
Maneno ya kwenye kitabu ambayo Yeremia alimsomea Baruku.
# Yehudi
Hili ni jina la mtu.
# katika mwezi wa tisa
Huu ni mwezi wa tisa kwa kalenda ya Kiebrania. Majira haya ni mwishoni mwa msimu wa kupanda na mwanzo wa kipindi cha baridi.
# Na mkaa ulikuwa ukiwaka mbele yake
"Na mkaa ulikuwa mbele yake ukiwa unawaka"
# Makaa
Ni sehemu ya moto ambayo mtu anaweza kuihamisha