sw_tn/jer/36/20.md

600 B

Kisha wao

Neno "wao" linawaelezea wakuu.

Wakakiweka kitabu katika chumba cha Elishama

"wakakiweka kitabu sehemu salama katika chumba cha Elishama"

Elishama karani

"Elishama aliyekuwa mwandishi"

Maneno haya

Maneno ya kwenye kitabu ambayo Yeremia alimsomea Baruku.

Yehudi

Hili ni jina la mtu.

katika mwezi wa tisa

Huu ni mwezi wa tisa kwa kalenda ya Kiebrania. Majira haya ni mwishoni mwa msimu wa kupanda na mwanzo wa kipindi cha baridi.

Na mkaa ulikuwa ukiwaka mbele yake

"Na mkaa ulikuwa mbele yake ukiwa unawaka"

Makaa

Ni sehemu ya moto ambayo mtu anaweza kuihamisha