sw_tn/jer/36/11.md

553 B

Mikaya

Hili ni jina la mtu.

Mikaya mwana ya Gemaria mwana wa Shafani

"Mikaya ambaye ni mwana wa Gemaria, ambaye ni mwana wa Shafani"

Chumba cha karani

"chumba cha mwandishi"

Tazama

"tazama" inaongeza msisitizo kwenye jambo linalofuata.

Elishama ... Delaya

Haya ni majina ya watu.

Shemaya

Hili ni jina la mtu.

Elnathan mwana wa Akbori

Elnathani mtoto wa Akbori

Gemaria mwana wa Shafani

"Gemaria mtoto wa Shafari"

Sedekia

Hili ni jina la mtu.

Hanania

Hili ni jina la mtu.

Na wakuu wote

"na wakuu wengine wote"