# Mikaya Hili ni jina la mtu. # Mikaya mwana ya Gemaria mwana wa Shafani "Mikaya ambaye ni mwana wa Gemaria, ambaye ni mwana wa Shafani" # Chumba cha karani "chumba cha mwandishi" # Tazama "tazama" inaongeza msisitizo kwenye jambo linalofuata. # Elishama ... Delaya Haya ni majina ya watu. # Shemaya Hili ni jina la mtu. # Elnathan mwana wa Akbori Elnathani mtoto wa Akbori # Gemaria mwana wa Shafani "Gemaria mtoto wa Shafari" # Sedekia Hili ni jina la mtu. # Hanania Hili ni jina la mtu. # Na wakuu wote "na wakuu wengine wote"