sw_tn/jer/36/11.md

44 lines
553 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mikaya
Hili ni jina la mtu.
# Mikaya mwana ya Gemaria mwana wa Shafani
"Mikaya ambaye ni mwana wa Gemaria, ambaye ni mwana wa Shafani"
# Chumba cha karani
"chumba cha mwandishi"
# Tazama
"tazama" inaongeza msisitizo kwenye jambo linalofuata.
# Elishama ... Delaya
Haya ni majina ya watu.
# Shemaya
Hili ni jina la mtu.
# Elnathan mwana wa Akbori
Elnathani mtoto wa Akbori
# Gemaria mwana wa Shafani
"Gemaria mtoto wa Shafari"
# Sedekia
Hili ni jina la mtu.
# Hanania
Hili ni jina la mtu.
# Na wakuu wote
"na wakuu wengine wote"