sw_tn/jer/36/07.md

28 lines
464 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yeremia anaendelea kumpa maelekezo Baruku.
# Yamkini
"labda"
# Wao wataomba rehema
"wao" inawakilisha watu wa nyumba ya Bwana na nyumba ya Yuda waliokuja katika nyumba ya Bwana toka kwenye miji yao.
# wataomba rehema mbele za Bwana
"Bwana atasikiliza maombi yao ya Rehema"
# Labda kila mtu ataacha njia yake mbaya
"Labda watatubu; kila mtu ataacha njia yake mbaya"
# Njia yake mbaya
"njia yake mbaya"
# Ghadhabu na hasira
"hasira"