# Taarifa ya jumla: Yeremia anaendelea kumpa maelekezo Baruku. # Yamkini "labda" # Wao wataomba rehema "wao" inawakilisha watu wa nyumba ya Bwana na nyumba ya Yuda waliokuja katika nyumba ya Bwana toka kwenye miji yao. # wataomba rehema mbele za Bwana "Bwana atasikiliza maombi yao ya Rehema" # Labda kila mtu ataacha njia yake mbaya "Labda watatubu; kila mtu ataacha njia yake mbaya" # Njia yake mbaya "njia yake mbaya" # Ghadhabu na hasira "hasira"