sw_tn/jer/36/07.md

464 B

Taarifa ya jumla:

Yeremia anaendelea kumpa maelekezo Baruku.

Yamkini

"labda"

Wao wataomba rehema

"wao" inawakilisha watu wa nyumba ya Bwana na nyumba ya Yuda waliokuja katika nyumba ya Bwana toka kwenye miji yao.

wataomba rehema mbele za Bwana

"Bwana atasikiliza maombi yao ya Rehema"

Labda kila mtu ataacha njia yake mbaya

"Labda watatubu; kila mtu ataacha njia yake mbaya"

Njia yake mbaya

"njia yake mbaya"

Ghadhabu na hasira

"hasira"