sw_tn/jer/36/04.md

577 B

Baruku akaandika katika kitabu toka kwenye maneno aliyosomewa na Yeremia, maneno yote aliyoyasema Bwana kwake

"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"

Soma toka kwenye kitabu

"soma kwa nguvu toka kwenye kitabu"

kama ninavyokusomea

"kutokana na ninayoyasema"

lazima usome

"lazima usome kwa nguvu"

katika masikio ya watu wa nyumba yake

"Ili watu wa nyumba ya Bwana wasikie"

kwenye masikio ya Yuda wote waliokuja toka kwenye miji yao

"ili watu wote wa Yuda waliokuja toka kwenye miji yao wasikie"