# Baruku akaandika katika kitabu toka kwenye maneno aliyosomewa na Yeremia, maneno yote aliyoyasema Bwana kwake "Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia" # Soma toka kwenye kitabu "soma kwa nguvu toka kwenye kitabu" # kama ninavyokusomea "kutokana na ninayoyasema" # lazima usome "lazima usome kwa nguvu" # katika masikio ya watu wa nyumba yake "Ili watu wa nyumba ya Bwana wasikie" # kwenye masikio ya Yuda wote waliokuja toka kwenye miji yao "ili watu wote wa Yuda waliokuja toka kwenye miji yao wasikie"