sw_tn/jer/36/04.md

24 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baruku akaandika katika kitabu toka kwenye maneno aliyosomewa na Yeremia, maneno yote aliyoyasema Bwana kwake
"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"
# Soma toka kwenye kitabu
"soma kwa nguvu toka kwenye kitabu"
# kama ninavyokusomea
"kutokana na ninayoyasema"
# lazima usome
"lazima usome kwa nguvu"
# katika masikio ya watu wa nyumba yake
"Ili watu wa nyumba ya Bwana wasikie"
# kwenye masikio ya Yuda wote waliokuja toka kwenye miji yao
"ili watu wote wa Yuda waliokuja toka kwenye miji yao wasikie"