sw_tn/jer/36/01.md

635 B

Taarifa ya jumla:

Tazama: uandishi wa shairi.

Ikawa

"ikatokea" Neno hili limetumika kuonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi mpya.

Katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda

Tazama namna ulivyotafsiri katika sura ya 25:1

Kuwa neno hili

"neno hili"inaonesha ujumbe unaofuata.

Kila taifa

"mataifa yote"

Nimekwambia toka

"nimekwambia wewe toka"

Tangu siku za Yosia mpaka leo

"toka siku za Yosia mpaka leo"

Yamkini watu wa Yuda

"Labda watu wa Yuda"

Nimedhamiria kuwafanyia

"Nimepanga kuwafanyia"

Labda kila mtu

"ili kila mtu"

Toka kwenye njia yake ya uovu

"toka kwenye uovu wake"