# Taarifa ya jumla: Tazama: uandishi wa shairi. # Ikawa "ikatokea" Neno hili limetumika kuonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi mpya. # Katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda Tazama namna ulivyotafsiri katika sura ya 25:1 # Kuwa neno hili "neno hili"inaonesha ujumbe unaofuata. # Kila taifa "mataifa yote" # Nimekwambia toka "nimekwambia wewe toka" # Tangu siku za Yosia mpaka leo "toka siku za Yosia mpaka leo" # Yamkini watu wa Yuda "Labda watu wa Yuda" # Nimedhamiria kuwafanyia "Nimepanga kuwafanyia" # Labda kila mtu "ili kila mtu" # Toka kwenye njia yake ya uovu "toka kwenye uovu wake"