sw_tn/jer/36/01.md

44 lines
635 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Tazama: uandishi wa shairi.
# Ikawa
"ikatokea" Neno hili limetumika kuonesha kuwa ni mwanzo wa simulizi mpya.
# Katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda
Tazama namna ulivyotafsiri katika sura ya 25:1
# Kuwa neno hili
"neno hili"inaonesha ujumbe unaofuata.
# Kila taifa
"mataifa yote"
# Nimekwambia toka
"nimekwambia wewe toka"
# Tangu siku za Yosia mpaka leo
"toka siku za Yosia mpaka leo"
# Yamkini watu wa Yuda
"Labda watu wa Yuda"
# Nimedhamiria kuwafanyia
"Nimepanga kuwafanyia"
# Labda kila mtu
"ili kila mtu"
# Toka kwenye njia yake ya uovu
"toka kwenye uovu wake"