sw_tn/jer/35/15.md

12 lines
409 B
Markdown

# Kila mtu aache uovu wake na kutenda matendo mema.
Maneno haya yote yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo.
# Kuifuata miungu mingine na tena kuiabudu.
Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja, yameunganishwa pamoja kwa ajili ya kuweka mkazo.
# Bado hamtanisikiliza wala kutegaa masikio yenu kwangu.
Maneno haya yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo au msisitizo.