# Kila mtu aache uovu wake na kutenda matendo mema. Maneno haya yote yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo. # Kuifuata miungu mingine na tena kuiabudu. Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja, yameunganishwa pamoja kwa ajili ya kuweka mkazo. # Bado hamtanisikiliza wala kutegaa masikio yenu kwangu. Maneno haya yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo au msisitizo.