sw_tn/jer/35/15.md

409 B

Kila mtu aache uovu wake na kutenda matendo mema.

Maneno haya yote yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo.

Kuifuata miungu mingine na tena kuiabudu.

Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja, yameunganishwa pamoja kwa ajili ya kuweka mkazo.

Bado hamtanisikiliza wala kutegaa masikio yenu kwangu.

Maneno haya yana maana moja na yameunganishwa kwa ajili ya kuweka mkazo au msisitizo.