sw_tn/jer/34/12.md

456 B

Neno la Mungu likaja likaja kwa.

Angaliai

Kila mtu lazima amwachie ndugu yake, Mwebrania mwenzakoaliyejiuza mwewe kwako ili kukutumikia.

"Kila mmoja wenu lazima amwache huru ndugu zake Waebrania ambao walijiuza kwake na kuwa watumwa."

Mwagize aende kwa uhuru.

"Waache wawe huru wasiwe watumishi wako tena."

Hawakunisikiliza wala kutega masikio yao.

Maneno haya yote yanasema kitu kimoja na kimsingi yametumika kwa ajili ya kuleta msisitizo.