# Neno la Mungu likaja likaja kwa. Angaliai # Kila mtu lazima amwachie ndugu yake, Mwebrania mwenzakoaliyejiuza mwewe kwako ili kukutumikia. "Kila mmoja wenu lazima amwache huru ndugu zake Waebrania ambao walijiuza kwake na kuwa watumwa." # Mwagize aende kwa uhuru. "Waache wawe huru wasiwe watumishi wako tena." # Hawakunisikiliza wala kutega masikio yao. Maneno haya yote yanasema kitu kimoja na kimsingi yametumika kwa ajili ya kuleta msisitizo.