sw_tn/jer/34/12.md

16 lines
456 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Mungu likaja likaja kwa.
Angaliai
# Kila mtu lazima amwachie ndugu yake, Mwebrania mwenzakoaliyejiuza mwewe kwako ili kukutumikia.
"Kila mmoja wenu lazima amwache huru ndugu zake Waebrania ambao walijiuza kwake na kuwa watumwa."
# Mwagize aende kwa uhuru.
"Waache wawe huru wasiwe watumishi wako tena."
# Hawakunisikiliza wala kutega masikio yao.
Maneno haya yote yanasema kitu kimoja na kimsingi yametumika kwa ajili ya kuleta msisitizo.