sw_tn/jer/33/14.md

16 lines
341 B
Markdown

# Hili ni tangazo la Yahwe.
Angalia sura ya 1: 7
# Katika siku hizo na katika wakati huo.
Virai "katika siku hizo" na katika wakati huo" yana maana moja.
# Nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi.
Wazawa wa kiume wa Daudi. "Mtu mwenye haki atatoka katika uzao wa Daudi kama tawi linalostawi kwenye mti.
# Nchi.
Taiafa la Israeli.