# Hili ni tangazo la Yahwe. Angalia sura ya 1: 7 # Katika siku hizo na katika wakati huo. Virai "katika siku hizo" na katika wakati huo" yana maana moja. # Nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi. Wazawa wa kiume wa Daudi. "Mtu mwenye haki atatoka katika uzao wa Daudi kama tawi linalostawi kwenye mti. # Nchi. Taiafa la Israeli.