sw_tn/jer/33/14.md

341 B

Hili ni tangazo la Yahwe.

Angalia sura ya 1: 7

Katika siku hizo na katika wakati huo.

Virai "katika siku hizo" na katika wakati huo" yana maana moja.

Nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi.

Wazawa wa kiume wa Daudi. "Mtu mwenye haki atatoka katika uzao wa Daudi kama tawi linalostawi kwenye mti.

Nchi.

Taiafa la Israeli.