sw_tn/jer/32/41.md

16 lines
341 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema.
# kufanya mema kwwa ajili yao.
Neno "yao", hapa linawataja watu wa Israeli.
# Kwa uaminifu nitawapanda katika nchi hii.
"Nitaifanya nchi hii kuwa makazi ya kudumu ya watu wa Israeli."
# Kwa moyo wangu wote na maisha yangu yote.
Kwa pamamoja virai hivi viwili vinataja utu kamaili wa mtu.