# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kusema. # kufanya mema kwwa ajili yao. Neno "yao", hapa linawataja watu wa Israeli. # Kwa uaminifu nitawapanda katika nchi hii. "Nitaifanya nchi hii kuwa makazi ya kudumu ya watu wa Israeli." # Kwa moyo wangu wote na maisha yangu yote. Kwa pamamoja virai hivi viwili vinataja utu kamaili wa mtu.