sw_tn/jer/32/41.md

341 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema.

kufanya mema kwwa ajili yao.

Neno "yao", hapa linawataja watu wa Israeli.

Kwa uaminifu nitawapanda katika nchi hii.

"Nitaifanya nchi hii kuwa makazi ya kudumu ya watu wa Israeli."

Kwa moyo wangu wote na maisha yangu yote.

Kwa pamamoja virai hivi viwili vinataja utu kamaili wa mtu.