sw_tn/jer/32/38.md

375 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema.

Moyo mmoja na njia moja ya kuniheshimu.

Hii ina maana kwamba kutakuwa na umoja miongoni mwa watu wa Israeli na watamwabudu Yahwe pekee.

Agano la milele.

"Makubaliano ya milele."

Nisiache kufanya mema kwa ajili yao.

"Siku zote nitawafanyia mema."

Ilikwamba wasiniache.

"Ili kwamba siku zote wanitii na kuniabudu."