sw_tn/jer/32/38.md

20 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema.
# Moyo mmoja na njia moja ya kuniheshimu.
Hii ina maana kwamba kutakuwa na umoja miongoni mwa watu wa Israeli na watamwabudu Yahwe pekee.
# Agano la milele.
"Makubaliano ya milele."
# Nisiache kufanya mema kwa ajili yao.
"Siku zote nitawafanyia mema."
# Ilikwamba wasiniache.
"Ili kwamba siku zote wanitii na kuniabudu."