# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kusema. # Moyo mmoja na njia moja ya kuniheshimu. Hii ina maana kwamba kutakuwa na umoja miongoni mwa watu wa Israeli na watamwabudu Yahwe pekee. # Agano la milele. "Makubaliano ya milele." # Nisiache kufanya mema kwa ajili yao. "Siku zote nitawafanyia mema." # Ilikwamba wasiniache. "Ili kwamba siku zote wanitii na kuniabudu."