sw_tn/jer/32/36.md

12 lines
323 B
Markdown

# Ambayo mnasema.
Hapa "mnasema" ni wingi. Maana zilizopo ni 1)Huyu ni Yeremia pamoja na watu alionao, au 2) watu wote.
# Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli.
Hapa neno "mikono" lina maana ya nguvu au mamlaka. "Kwa hiyo Yahwe ameuweka mji katika mkono wa mfalme wa Babeli."
# Kuwakusanya.
"Kuwakusanya watu wanagu."