sw_tn/jer/32/36.md

323 B

Ambayo mnasema.

Hapa "mnasema" ni wingi. Maana zilizopo ni 1)Huyu ni Yeremia pamoja na watu alionao, au 2) watu wote.

Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli.

Hapa neno "mikono" lina maana ya nguvu au mamlaka. "Kwa hiyo Yahwe ameuweka mji katika mkono wa mfalme wa Babeli."

Kuwakusanya.

"Kuwakusanya watu wanagu."