# Ambayo mnasema. Hapa "mnasema" ni wingi. Maana zilizopo ni 1)Huyu ni Yeremia pamoja na watu alionao, au 2) watu wote. # Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli. Hapa neno "mikono" lina maana ya nguvu au mamlaka. "Kwa hiyo Yahwe ameuweka mji katika mkono wa mfalme wa Babeli." # Kuwakusanya. "Kuwakusanya watu wanagu."