sw_tn/jer/32/31.md

377 B

Sentensi kiunganishi:

Mstari huu ni mwendelezo wa mistari iliyotangulia.

Mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na gadhabu yangu tangu walipoujenga.

Maneno "hasira" na "gadhabu" kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa hasira yake Mungu.

Umekuwa hivyo hata leo.

"Wanazidi kunifanya nikasirike hata sasa."

Mbele ya uso wangu.

"Kutoka kwenye uwepo wangu."