sw_tn/jer/32/31.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi:
Mstari huu ni mwendelezo wa mistari iliyotangulia.
# Mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na gadhabu yangu tangu walipoujenga.
Maneno "hasira" na "gadhabu" kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa hasira yake Mungu.
# Umekuwa hivyo hata leo.
"Wanazidi kunifanya nikasirike hata sasa."
# Mbele ya uso wangu.
"Kutoka kwenye uwepo wangu."