# Sentensi kiunganishi: Mstari huu ni mwendelezo wa mistari iliyotangulia. # Mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na gadhabu yangu tangu walipoujenga. Maneno "hasira" na "gadhabu" kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa hasira yake Mungu. # Umekuwa hivyo hata leo. "Wanazidi kunifanya nikasirike hata sasa." # Mbele ya uso wangu. "Kutoka kwenye uwepo wangu."