sw_tn/jer/32/24.md

24 lines
420 B
Markdown

# Maelezo ya ajumla:
Yaremia anaendelea kumwomba Yahwe.
# Kuuteka.
"Kwa hiyo jeshi la adu litauteka."
# Kwa sababu ya upanga.
Hapa aupanga unamaanisha mapigano ya vita.
# Mji umetiwa kwenye mikono ya Wakaldayo.
Hapa "mkono" unamaanisha nguvu au umiliki.
# Na mashahidi wameshuhudia.
" Na watu wengine washuhudie jambo hili."
# Mji huu unatwa mikononi mwa Wakaldayo.
"Ninautia mji huu mikononi mwa Wakaldayo."