sw_tn/jer/32/24.md

420 B

Maelezo ya ajumla:

Yaremia anaendelea kumwomba Yahwe.

Kuuteka.

"Kwa hiyo jeshi la adu litauteka."

Kwa sababu ya upanga.

Hapa aupanga unamaanisha mapigano ya vita.

Mji umetiwa kwenye mikono ya Wakaldayo.

Hapa "mkono" unamaanisha nguvu au umiliki.

Na mashahidi wameshuhudia.

" Na watu wengine washuhudie jambo hili."

Mji huu unatwa mikononi mwa Wakaldayo.

"Ninautia mji huu mikononi mwa Wakaldayo."