# Maelezo ya ajumla: Yaremia anaendelea kumwomba Yahwe. # Kuuteka. "Kwa hiyo jeshi la adu litauteka." # Kwa sababu ya upanga. Hapa aupanga unamaanisha mapigano ya vita. # Mji umetiwa kwenye mikono ya Wakaldayo. Hapa "mkono" unamaanisha nguvu au umiliki. # Na mashahidi wameshuhudia. " Na watu wengine washuhudie jambo hili." # Mji huu unatwa mikononi mwa Wakaldayo. "Ninautia mji huu mikononi mwa Wakaldayo."