sw_tn/jer/32/01.md

298 B

Neno likaja kwa Yeremia kutoka kwa Yahwe.

"Hiki ndicho alichokisema Yeremia kwa Yahwe."

Alikuwa amefungwa katika uwanja wa walinzi.

"Walimfunga katika uwanja wa walinzi."

Katika uwanja wa walinzi katika nyumba ya mfalme wa Yuda.

Hili lilikuwa eneo la wazi liloungana na ikulu ya mfalme.