# Neno likaja kwa Yeremia kutoka kwa Yahwe. "Hiki ndicho alichokisema Yeremia kwa Yahwe." # Alikuwa amefungwa katika uwanja wa walinzi. "Walimfunga katika uwanja wa walinzi." # Katika uwanja wa walinzi katika nyumba ya mfalme wa Yuda. Hili lilikuwa eneo la wazi liloungana na ikulu ya mfalme.